Simba ikiendelea na viongozi wasio na maono itawachukua miaka 7 kurudi kwenye makali yao

Simba ikiendelea na viongozi wasio na maono itawachukua miaka 7 kurudi kwenye makali yao

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
803
Reaction score
1,329
Kabla ya kukurupuka kusajili wachezi, Simba wahakikishe wana safu bora ya uongozi na technical bench lenye ubora wa hali juu. Baada ya hapo ndipo hilo benchi bora la ufundi lifanye kazi ya kusajili wachezaji wenye ubora na wala sio sajili za kufurahisha mashabiki.

Simba wasipozingatia hili itawachukua muda mrefu sana hata miaka 7 kurudi kwenye makali yake.
---

Simba SC kumekuwa na sintofahamu nyingi, soma mada hizi kuelewa kinachoendeea:

- Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

- Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba

- Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi

- Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?
 
Kwa hiyo ndiyo kusema huiamini kabisa kamati yetu ya usajili pamoja na yule skauti wetu Mzungu? Wewe vipi bhana! Mbona usajili ni mzuri tu!
Anayesajili nae tumepigwa tu. Ndio alimuona Jobe kweli??
 
Back
Top Bottom