SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu.
Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo kirahisi sana.
Anyway, jueni tu kuwa ombi lenu likitimia, tutaujaza Uwanja wa Uhuru tena kwa kiingilio, tutaweka screen kubwa na wachezaji watasikia shangwe zetu zote. Watakaoangalia kwenye TV watasikia kelele za mashabiki kama kawa. Sasa wewe niambie, Simba itaathirika vipi?
ZIADA 1: Waarabu kwenye mpira ni watu wa hovyo sana. Ni wazi walikuwa wana nia ya kuchochea vurugu ili wapate cha kulilia baada ya kukandwa. Kuna video moja staff wa CS Sfaxien alimpiga ngumi ya kisogo mmoja wa walinzi wa uwanja aliyekuwa anatuliza mashabiki, halafu akakausha kama siyo yeye.
ZIADA 2: Tanzania tuwekeze kwenye mashindano ya shirikisho. Timu nyingi huku tunazimudu na hili kombe tunaweza kulichukua sana tu. Hili kombe litazipa timu zetu nguvu za kiuchumi za kupambana na wababe zaidi. Timu kama Azam na hata hizi Yanga na Simba zikiongeza userious, tunaweza kutawala katika mashindano haya.
ZIADA 3: Waarabu wanataka mpira wa Afrika watawale wao tu. Ona wanavyojitoa CHAN. Huku Shirikisho ndiyo kabisa wamejiwekea utawala wao ila ndiyo wanapiga pesa za CAF hivyo. Kule kwingine Al Ahly wamejimilikisha kombe. Imagine pesa inayoingia kila mwaka kwa zawadi tu. Sasa waza exposure na mapato ya Super Cup, Club World Cup na mashindano mengine wanayopata fursa za kushiriki kwa kuwa mabingwa. Inabidi tuanze kufikiri mambo kwa ukubwa na upana wake.