Simba ikiifunga TP Mazembe natembea uchi Mabibo

Huyo mzee atakuwa ni mwanga anatafuta sababu za kuwanga mchana kweupe
 
Uzuri ni kwamba unatumia ID Feki lakini ungekuwa unatumia ID orijino wallah tungekutafua Tanzania nzima ili utimize ahadi yako
 
Le mutuz ni hadi uchungulie vizuri

Kudraw mbaya kwetu
yes ni mbaya: ila tusikate tamaa unakumbuka hata 2003 tulifungwa na zamaleki 1 bila lkn kwao tukaenda Pindua Meza pia. washika mitutu wa London nawao wakizingua kesho hii wkend yangu itakuwa imeisha ovyo
 
2003 hata nilikuwa sijielewi πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ilikuwa hivyo?hata history sijaipitia

Sa hivi mna moto kesho hamuwezi kuzingua
 
Nimeimagine wababa wenye vitambi uchi wake si hadi uchungulie kwa chini au unyanyue tumbo [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema haki ya Mungu
 
2003 hata nilikuwa sijielewi πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ilikuwa hivyo?hata history sijaipitia

Sa hivi mna moto kesho hamuwezi kuzingua
haha kumbe bado ulikuwa unang'ata ng'ata vidole nyie sasa hivi ndiwo mnao windwa hasa hawa.

Game ya kesho na evarton tukipita salama naimani top 4 tutabakia.
 
haha kumbe bado ulikuwa unang'ata ng'ata vidole nyie sasa hivi ndiwo mnao windwa hasa hawa.

Game ya kesho na evarton tukipita salama naimani top 4 tutabakia.

Unaniumiza ujueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

United tumerudi katika nafasi yetu pendwa 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…