Simba ikimfunga power Dynamo mje mnipige vibao

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.

Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"

Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus

Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa

Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line

NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.

1696071034952.jpg
 
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA,KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu....kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu,Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"

Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo.....ni ngumu kutoboa makundi .....coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus

Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa

Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line

NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwaView attachment 2767339
Utajipiga mwenyewe hatutaki murder case sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila muda uzi kuhusu simba, hivi huchoki mkuu ?.. au ndo dalili za uoga ?
 
Wee nae unatia shaka...kutwa kucha huna la kufanya?

Yaani hunaga content nyingine zaidi ya Simba?

Yani wewe huna unachowaza zaidi ya Simba..huna hata cha kuwashauri viongozi wenu wa Yanga au TFF?

Tumekuchokaaaaaaaaaaaaaa
 
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA,KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu....kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu,Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"

Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo.....ni ngumu kutoboa makundi .....coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus

Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa

Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line

NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwaView attachment 2767339
Uko wapi tiandae fimbo?
 
Back
Top Bottom