Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Mav kabisa huyuWee nae unatia shaka...kutwa kucha huna la kufanya?
Yaani hunaga content nyingine zaidi ya Simba?
Yani wewe huna unachowaza zaidi ya Simba..huna hata cha kuwashauri viongozi wenu wa Yanga au TFF?
Tumekuchokaaaaaaaaaaaaaa
🤣🤣Wee nae unatia shaka...kutwa kucha huna la kufanya?
Yaani hunaga content nyingine zaidi ya Simba?
Yani wewe huna unachowaza zaidi ya Simba..huna hata cha kuwashauri viongozi wenu wa Yanga au TFF?
Tumekuchokaaaaaaaaaaaaaa
Aminini nawambia kesho wakati wa saa nyeusi simba atakuwa mahali pabaya peponi.
Hongereni sana watani kwa kuvunja mwiko wa miaka 25 na kutinga makundi ya Klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998. Ni jambo kubwa sana kwa wana Uto wote. Mnastahili pongezi. Japo mmeingia kwa kuwatoa wakimbizi lakini si mbaya.KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.
Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa
Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line
NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.
View attachment 2767339
Tukupige Bao!KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.
Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa
Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line
NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.
View attachment 2767339
Ni ngumuUkiangalia game ya kwanza kule Zambia utagundua Simba ilikuwa ishinde hata goli 5. Hivyo mechi hii ya pili tusishangae Simba kushinda kwa goli 7. Tuache ushabiki, timu ya Power dynamos inafungwa hata na jkt.
Hata hivyo:
Kama ilivyo desturi ya Simba tayari wameshayajenga na marefarii wa game ya leo na baadhi ya key players wa Power dynamos. Kwa hiyo ni UHAKIKA
Wa kupigwa miti tu siyo vibaoKALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.
Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa
Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line
NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.
View attachment 2767339
Kitu cha kawaida wakati mda huu umeshikilia rohoHongereni sana watani kwa kuvunja mwiko wa miaka 25 na kutinga makundi ya Klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998. Ni jambo kubwa sana kwa wana Uto wote. Mnastahili pongezi. Japo mmeingia kwa kuwatoa wakimbizi lakini si mbaya.
Sisi tumezoea kuingia makundi kwa miaka mingi. Ni vitu vya kawaida kwetu. Lakini kwenu huu ni muujiza. Kidogo mlikua mnaliwezea lile kombe la "Loser" lakini huku kwenye klabu bingwa mlikuwa mnatepeta mapema sana. Mmekua "sokomoko" kwa miaka 25. Hatimaye leo mmevunja mwiko. Japo sijui ni upi maana mnapenda kusema "mbele mwiko nyuma mwiko" lakini nachojua mwiko mmoja umevunjika leo baada ya miaka 25. Hongereni sana.
Mara ya mwisho kufika makundi klabu bingwa ni 1998 wakati Mayele akiwa na miaka minne, Feitoto alikua mimba, na Whozu alikuwa na mwaka mmoja lakini leo anaitwa Chibaba [emoji1787]. Makundi pekee mliyokua mnaingia mara kwa mara ni ya Whatsapp. Kwahiyo hongereni sana kwa kuvunja mwiko.
Ilikua inatia simanzi sana wakati Simba tukienda group stage, nyie mnarudi kuosha vyombo na Njombe Mji au Itilima FC. Lakini mwaka huu ni furaha kwamba kaka zenu tumepata watu wa kutusindikiza kwenye makundi ya klabu bingwa. Raha mliyoipata leo, sisi tumeipata mfululizo kwa miaka mingi.
Sehemu kubwa ya mashabiki wa Uto, hasa wenye umri chini ya miaka 25 hawajawahi kuishuhudia klabu yao ikicheza makundi klabu bingwa. Na walikua na hatari ya kuzeeka bila kuiona timu yao ikitinga hatua ya makundi. Kwahiyo leo wana haki ya kufurahi, kujibaraguza na hata kuogea maji ya bahari kwa kutoa mkosi.
Mwisho niwashauri vijana mnaotaka kuoa changamkieni mabinti ambao ni mashabiki wa Uto. Kama ameweza kuivumilia timu yake kwa miaka 25, hashindwi kukuvumilia wewe na chumba chako kimoja kwa miaka mitano mpaka utakapojenga kwako. Kuanzia kesho kama unatafuta mke "piga sound" binti yeyote aliyevaa kitop cha kijani na shimizi ya njano. Mtanishukuru baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimpiga mlevi asiyekula chakula akajifia tutaweka sura zetu wapi.KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.
Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa
Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line
NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.
View attachment 2767339
Makundi hatutoboi
Kwani uwongo babu acha kumtoa mwenzio akiliNahisi akili yako haipo TIMAMU.