Ana maanisha uweke jichoSijaelewa
Mbwa-koko una vituko!😝😝😝[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameshasahau ! Yaaap!Kwa mjibu wa utafti wa kocha Luc Eymael .Mbwa uitwe mara ngapi mbona yule kocha alishawaita mbwa
Huwezi kupata mtu mwenye akili kama ya kwako aliye radhi kujitukana mwenyewe labda umtafute huko kwenye jamhuri ya watu wa UTOPOLOLeo simba ikishinda niitwe mbwa [emoji3]
Mbona Luc Eymael alishawaita mbwa! Tafuta jina lingineLeo simba ikishinda niitwe mbwa [emoji3]
Vipi sasa , tukuite nusu dog au dog [emoji240] kamili?Leo simba ikishinda niitwe mbwa [emoji3]
Vipi sasa , tukuite nusu dog au dog [emoji240] kamili?