Simba ili kupata ushindi iliwahitaji DIARA na MAYELE

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:

1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye anakuwa msaada mkubwa pindi timu inapoingia kwenye upigaji wa matuta ...... kumbuka manura alishindwa kuotea hata penalt moja kudaka

2. Simba kwa mech yao ingawa waliingiza beki 6 kwaajili ya kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] ila walihitaji wachezaji wenye uwezo binafsi type ya MAYELE ambae akipata chance moja ....anaibeba timu

3: SIMBA bado tatizo la upigaji penati Ni mtihani mgumu kwao....Kama ule wa pure mathematics ...coz haiwezekani watu wawili wakose penalty........

YANGA walianzisha tuition ya upigaji penalty but Simba wali ignore...hayo ndo matokeo yao

4.: Simba bado Ina mpira wa mdomoni kuliko mpira wenyewe.....coz huwezi kuwa na wachezaji wazee....alafu ushinde CAF labda CUF ya lipumba
...
By chambuzi la nchi..

Malizia Jambo lingine ulilo note ....mechi ya Simba vs orlando

Reference
Shafii dauda
Mwakalebela
View attachment 2199819
 
Walisema ....hatuwaelewa[emoji23][emoji23]
FB_IMG_16507123355347339.jpg
 
Ile penati iliyodakwa na golikipa wa simba alikuwa n diara?

JamiiForums634484517.gif
 
Umeanika uozo wa kichwa chako aise.
Umedanganya Manula hakudaka penat hata moja ,ilihali Manula alidaka penati ya 4.
Diara kwa Manula ni mrembo tu Manula anafanya kazi nzuri.

Mayele na Mugalu??
Hata iweje Kama unacheza mashindano ya kimataifa inatakiwa mshambuliaji wa viwango na type ya Mugalu anaesaidia timu muda wote
 
Yaani Utopolo, kila kitu kutoka huko kwao, wanaona ni bora! Sina shaka hata kinyesi cha Mayele, wanaweza kukiita KEKI!
Haya ndio matatzo ya kuwa kolo....kila taka taka wanaita dhahabu
 
Umeanika uozo wa kichwa chako aise.
Umedanganya Manula hakudaka penat hata moja ,ilihali Manula alidaka penati ya 4.
Diara kwa Manula ni mrembo tu Manula anafanya kazi nzuri.

Mayele na Mugalu??
Hata iweje Kama unacheza mashindano ya kimataifa inatakiwa mshambuliaji wa viwango na type ya Mugalu anaesaidia timu muda wote
Labda kuisadia timu kuruka ruka UWANJANI .....na kupewa kad nyekundu
 
Back
Top Bottom