Simba ilicheza na timu ya daraja la pili ili kupata fedha za kujikimu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jua wajua kama hujui ngoja nikwambie

Simba walipiga gemu kahama na time yadaraja LA pill kupata fedha ya kujikimu!!kama ni siri hii ni kweli hali simba kifedha so shwari tena !

Baadhi ya wana friendsxx wamegoma kutoa pesa wakihisi kusalitiwa lingine jua wajua kama hujui ngoja nikuhabalishe

Simba walitaka kukimbia hotelini tanga!!

Zoezi hili lilizimwa na mlinzi was hotel baada yq kugoma kupokea chocote ndipo mmoja was viongozi akaenda kutoahela bank nakulipa kuepuka aibu!

Jua wajua kama hujui nikujuze hivi simba walifanikiwa kulipa pesa za hotel Shy?
 
SRC!!mwananchi pg 40
 
Mmmmh mtani kafikia hali hiyo kweli?
 
Ni kweli simba ilicheza kahama ikatoka droo na timu ya ambasado ya huku kahama!
 
Walikaa Kahama kwa kuwa kuna mfadhiri aliwalipia hotel na chakula, hali siyo swari kabisa Simba hata posho za mazoezi hawapati.
 
Wachezaji simba hawana posho kwa mechi kibao tu.Mechi ya polisi moro walipewa 52000 tu.Tanga tulitaka kuzuiliwa hotelini kisa kushindwa kulipa deni.Kahama tumecheza ndondo ili tupate hela ya mafuta ya basi na ya kujikimu.Hii sio simba ninayoijua mimi.Tutafukuza makocha kila siku ila uongozi unatatizo.
 
Ngoja Okwi apigike aliruka mkojo akakanyaga mavi! Tambwe sasa mambo safi!

Poleni sana, siku ya mechi na timu ya wananchi mtaipata fresh, kama Aveva hajui kujiuzulu akamuulize Nchunga.
 
Siku hiyo mkifungwa sijui mtakuja na utetezi gani.
 
Utetezi huu hapa: Mchezo wa soka una matokeo matatu; kushinda, kufungwa na kutoa sare. Simba wamebahatisha tu lakini sisi ni bora kuliko wao (Julio, nd).
 
Jua wajua kama hujui ngoja nikwambie

Simba walipiga gemu kahama na time yadaraja LA pill kupata fedha ya kujikimu!!kama ni siri hii ni kweli hali simba kifedha so shwari tena !

Baadhi ya wana friendsxx wamegoma kutoa pesa wakihisi kusalitiwa lingine jua wajua kama hujui ngoja nikuhabalishe

Simba walitaka kukimbia hotelini tanga!!

Zoezi hili lilizimwa na mlinzi was hotel baada yq kugoma kupokea chocote ndipo mmoja was viongozi akaenda kutoahela bank nakulipa kuepuka aibu!

Jua wajua kama hujui nikujuze hivi simba walifanikiwa kulipa pesa za hotel Shy?

Nakataa! Huyu sio pdidy
 
Back
Top Bottom