Wachezaji simba hawana posho kwa mechi kibao tu.Mechi ya polisi moro walipewa 52000 tu.Tanga tulitaka kuzuiliwa hotelini kisa kushindwa kulipa deni.Kahama tumecheza ndondo ili tupate hela ya mafuta ya basi na ya kujikimu.Hii sio simba ninayoijua mimi.Tutafukuza makocha kila siku ila uongozi unatatizo.
Ngoja Okwi apigike aliruka mkojo akakanyaga mavi! Tambwe sasa mambo safi!
Poleni sana, siku ya mechi na timu ya wananchi mtaipata fresh, kama Aveva hajui kujiuzulu akamuulize Nchunga.
Siku hiyo mkifungwa sijui mtakuja na utetezi gani.
Jua wajua kama hujui ngoja nikwambie
Simba walipiga gemu kahama na time yadaraja LA pill kupata fedha ya kujikimu!!kama ni siri hii ni kweli hali simba kifedha so shwari tena !
Baadhi ya wana friendsxx wamegoma kutoa pesa wakihisi kusalitiwa lingine jua wajua kama hujui ngoja nikuhabalishe
Simba walitaka kukimbia hotelini tanga!!
Zoezi hili lilizimwa na mlinzi was hotel baada yq kugoma kupokea chocote ndipo mmoja was viongozi akaenda kutoahela bank nakulipa kuepuka aibu!
Jua wajua kama hujui nikujuze hivi simba walifanikiwa kulipa pesa za hotel Shy?
Na washuke daraja tu