GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Ongezea wamemtoa Phiri wakamsajili Fredy🤣🤣Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo?
Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu
Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee
Halafu tukiwauza/ au kuwaacha wanapitia mlango nyuma na kuwasajili mfano Augustine Okra
Kweli jamani
Mimi ni shabiki lia lia wa simba naomba tutafakari mada iliopo mezaniUBUNTU BOTHO
View attachment 2936940