This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Nawauluza nyie mashabiki oya oya wa Utopolo. Mnyama aliwahi kuwafumua marinda kwa goli 4, 5,Hadi Kuna mechi mliwahi kuchanwa 6 mlipokea shilingi ngapi kuuza mechi?
Ktk ligi tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa Kati ya Yanga na Simba Ni goli 10( Yanga 30 kwa 40 ya Simba) hapa tukiongea mpira maana yake Simba ina Safu kali na Bora Sana ya ushambuliaji. Namba hazidanganyi.
Katika mechi 10 za mwisho
Mayele ana goli 4
Baleke mechi 10 goli 12
Utopolo mlipokea shilingi ngapi? Na hivi vipigo hamjawahi kuvirudisha/kuvilipa.