Simba iliwahi kuigonga Yanga goli 6,5,4 mlihongwa shilingi ngapi ili kuuza mechi?

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Nawauluza nyie mashabiki oya oya wa Utopolo. Mnyama aliwahi kuwafumua marinda kwa goli 4, 5,Hadi Kuna mechi mliwahi kuchanwa 6 mlipokea shilingi ngapi kuuza mechi?

Ktk ligi tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa Kati ya Yanga na Simba Ni goli 10( Yanga 30 kwa 40 ya Simba) hapa tukiongea mpira maana yake Simba ina Safu kali na Bora Sana ya ushambuliaji. Namba hazidanganyi.

Katika mechi 10 za mwisho
Mayele ana goli 4
Baleke mechi 10 goli 12

Utopolo mlipokea shilingi ngapi? Na hivi vipigo hamjawahi kuvirudisha/kuvilipa.
 
Yaani tangu jmosi mchana hadi leo usiku huu uzi wako umejibiwa na kuchangiwa na mtu mmoja. Katika wanachama mamilioni wa JF umechangiwa na mtu mmoja. Na kakuhurumia katuma post 2 huyo huyo

Jitafakari Sana kaka.
 
Yaani tangu jmosi mchana hadi leo usiku huu uzi wako umejibiwa na kuchangiwa na mtu mmoja. Katika wanachama mamilioni wa JF umechangiwa na mtu mmoja. Na kakuhurumia katuma post 2 huyo huyo

Jitafakari Sana kaka.
Amewauliza utopolo wamegoma kujibu kwa sababu wanaugopa uzi. Mashabiki wa simba tunasubiri utopolo mje kujibu huku.
 
Wakikujibu niambie nipo hapa kona nawasubiri
 
Washagongwa gongwa na mnyama awanamajibu.wana Uto wengi wao awajui walikua maporini uko wanachunga ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…