Simba imeachana lini na Monalisa kama Afisa Habari?

Simba imeachana lini na Monalisa kama Afisa Habari?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nauliza, huyu dada alikuwa Msemaji wa Simba Queens ila amepotea ghafla, nafasi yake naona Ahmed pia anaifanya, wameachana naye lini? Shida nini? Mbona mapema kabla mkataba kuisha?

84982DBF-EE0A-4774-9E58-F77578251623.jpeg
 
Simba inaongoza kwa Janja janja! Inahitajika uwe mvumilivu sana kufanya kazi na hao Mudi family.
 
Back
Top Bottom