aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Oct 26, 2022 #1 Nauliza, huyu dada alikuwa Msemaji wa Simba Queens ila amepotea ghafla, nafasi yake naona Ahmed pia anaifanya, wameachana naye lini? Shida nini? Mbona mapema kabla mkataba kuisha?
Nauliza, huyu dada alikuwa Msemaji wa Simba Queens ila amepotea ghafla, nafasi yake naona Ahmed pia anaifanya, wameachana naye lini? Shida nini? Mbona mapema kabla mkataba kuisha?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 26, 2022 #2 Simba inaongoza kwa Janja janja! Inahitajika uwe mvumilivu sana kufanya kazi na hao Mudi family.
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Oct 26, 2022 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Simba inaongoza kwa Janja janja! Inahitajika uwe mvumilivu sana kufanya kazi na hao Mudi family. Click to expand... Dada hajadumu hata miezi 2 kwenye hiyo nafasi
Tate Mkuu said: Simba inaongoza kwa Janja janja! Inahitajika uwe mvumilivu sana kufanya kazi na hao Mudi family. Click to expand... Dada hajadumu hata miezi 2 kwenye hiyo nafasi