Simba imeajiri Afisa Habari na Msemaji ambae hajitambui

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kwa nilivyoona speech yake kwenye press ya jana ni asilimia 100 kuwa Ahmed Ally ni mwehu kabisa maana anaongea vitu vya kipumbavu kabisa.

Nina mashaka na elimu yake huenda hana elimu, ni chawa mmoja mzuri, ni type ya watu wanaoweza kuwa potential kwa CCM.

Aina ya watu walaghai, nimemshusha sana heshima jana.
 
Lete video labda kuna mapya ambayo hatuyajui ameyaongea msemaji...maana sidhani kama kuna kipya kama huwa unaangalia intavyuu zake..sidhani kama kuna la ajabu jipyaa kutoka kwny mfumo wake wa uwasilishaji na kuwapa moyo mashabiki hata pale anapoona kuna uzito..so leta video bila video ni porojo...
 
Ni msemaji wa MBUMBUMBU unategemea ataongea nn [emoji16]
 
fuatilia kipande anamsifia mgeni rasimi kocha utaona kabisa ni empty skull
 
Kila nikimuona nakumbuka ile video jamaa anamuita Ahmed kuwa ni sawa na wale watumbuizaji wa meli ya titanic, wenzao wapo kwenye tabu lakini yeye anawapa burudani tuu [emoji23]
uko sahihi kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnaumia upuuzi...sasa mdomo wake kaamua kumsifia mtu hajamtukana mtu yoyote ww unakereka nini... πŸ˜† πŸ˜†
 
Nilimshusha kuanzia nilipomsikia kajibadirisha sauti yake asilia. Anaongea kwa kujikamua kamuavhivi, kama anasoma mashairi. Hivi ujue badae atapitishwa kuwa diwani kupitia ccm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…