SI KWELI Simba imefungwa goli 6 na timu ya daraja la pili Misri kwenye Pre season ya 2024/25

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Siyo kweli,

Simba ndiyo imefunga 6-2, huku Mukwala akitoka na Hat-trick
 
goli sita,,,! acha dharau mkuu Simba tumesuka kikosa upya Kalaboe,Kijili,Mukwala hata kama utani wa jadi sio kiivyo bana,,kha,,!
 
Na watapigwa sana apo bado ni trela uwezi kusajili watoto wa 2000 Tena kutoka kwenye ligi dhaifu ukategemea maajabu, tarehe 8 tunaisubilia kwa hamu maana Wana kelele nyingi mpaka waseme!
 
Hata msimu uliopita tulikuwa tikisikia tu kuwa makolo huko waliko preseason Wana pokea kipondo kizito na hilo likikuja kidhibitika walivyo shushiwa mkono kwenye derby...na sasa ngoja tusubiri debry.
 
Hizi stori huwa zipo kila mwaka, na huwa zinaletwa na timu zilizokosa hela ya kufanyia pre season nje ya nchi
😁😁😁
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…