SI KWELI Simba imefungwa goli 6 na timu ya daraja la pili Misri kwenye Pre season ya 2024/25

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ni tetesi kumbe, nilidhani official
 
Kwani hii mechi ilikuwa inarushwa kituo Kipi cha TV?

Ama kupitia TV binafsi ya mtoa mada?

Anyways, Tukutane Kwa Mkapa ili tuwatestie nyie hichi kikosi πŸ’ͺ
 
Reactions: BRN
Wanathiiimbaaa lete mudhumgu..... Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.
 
Wanaficha tu habari zao hao Utopolo. Jana wao ndo wameoigwa goli 4 na Kigamboni Veterans. Wapuuzi tu hao.
 
Ajabu kila simba akienda pre season nje lazima mtungu huu ujinga. Ccm mitano tena
Ccm itatawala milele. Kwa ujinga huu wa mleta mada na akili za namna hio.
Kuna mwamba kapiga bilioni 23 Tsh.
 
Reactions: BRN
Bado mchanga sana kwenye utunzi, mtafute Musa Banzi.
 
Reactions: BRN
GENTAMYCINE soma hiyooooπŸ‘†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…