SI KWELI Simba imefungwa goli 6 na timu ya daraja la pili Misri kwenye Pre season ya 2024/25

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mbumbumbu wapo kimyaa kama wanajisaidia kichakani
 
Oya si nilishasema kuwa Kausheni kuhusu hili?
Popoma tabulele tabulele, msimu ukianza utafungua threads za kutosha, msikilizeni Kigwagwala ana hoja. Msikimbilie kulaumu TFF mara Marefa, kisha mtahamia CAF kulaumu
 
Sio kweli..ni watu tu wasioitakia mema timu yetu wanabuni tu..
 
Reactions: BRN
Sawa
 
.... mie napigania yanga tu

Ni kinyume chake, Simba imeshinda 6-2
 
Reactions: BRN
Hii umetoa wapi mkuu acha kudanganya watu jamaa, jiandaeni tarehe8 tunakutana ngao ya jamii mtalia
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…