Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.

Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.View attachment 1637843View attachment 1637844Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
You are right 100 percent.Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.View attachment 1637843View attachment 1637844
Wewe upo sawa.Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.
View attachment 1637841View attachment 1637842
Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.
View attachment 1637841View attachment 1637842
Kwa Kadri ya Ufahamu wangu hakuna team inayoanza katika Makundi Moja kwa moja, kuna round ya Awali ambayo ndio hii halafu kuna round ya kwanza then makundi, team zote lazima zicheze round ya kwanza ndio ziingie katika makundiAhly anaanzia makundi direct na kina WAC, RAJA, MELODI, NA ZAMALECK MKUUU
Hapana anaanzia round ya piliAhly anaanzia makundi direct na kina WAC, RAJA, MELODI, NA ZAMALECK MKUUU
Game ngumu hii.Mleta mada haya unayatoa wapi. Simba itacheza na Platinum ya Zimbambwe.
Kila kitu kimewekwa wazi na CAF, Al Ahly atacheza raundi ya pili na mshindi kati ya As Sonidep vs MogadishuAhly anaanzia makundi direct na kina WAC, RAJA, MELODI, NA ZAMALECK MKUUU