Simba imeingia kwenye makundi kwa hesabu tu

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia.

Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
 
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.
View attachment 1637841View attachment 1637842
 
Tumechoka Kushindwa Shindwa
Tunataka Ushindi 😁😂👏🙏🙏
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
Umetumia kigezo kipi kusema Simba itacheza na mshindi kati ya As Sonidep au Mogadishu city? Maana mimi nimeona Caf wamepanga mshindi wa mechi ya As Sonidep vs Mogadishu atacheza na Al Ahly. Huku Simba ikikutana na mshindi kati ya Cd Do Sol vs Platinum.View attachment 1637843View attachment 1637844
 
Ahly anaanzia makundi direct na kina WAC, RAJA, MELODI, NA ZAMALECK MKUUU
 
Kwa Kadri ya Ufahamu wangu hakuna team inayoanza katika Makundi Moja kwa moja, kuna round ya Awali ambayo ndio hii halafu kuna round ya kwanza then makundi, team zote lazima zicheze round ya kwanza ndio ziingie katika makundi
 
Ahly anaanzia makundi direct na kina WAC, RAJA, MELODI, NA ZAMALECK MKUUU
Kila kitu kimewekwa wazi na CAF, Al Ahly atacheza raundi ya pili na mshindi kati ya As Sonidep vs Mogadishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…