Simba imejipiga shoti kwa Jonathan Sowah na itawagharimu

Nyinyi mnajua ni wapuuzi sana...
Hawa nje ya kamera ni watu wanaongea na kucheka na kugonga cheers wanalewa hata pamoja ...shida Iko kwako na wandengereko wenzio wenye presha...
Tafuta hela ...
Unaweza kugonga cheers na watu lakini ukabaki kuheshimu na kufuata maadili ya kazi yako. Ni tofauti na tunachoongea hapa. Kwenye ground huko kunatisha.
 
Siku hizi mashabiki wa Simba mmekuwa kama wa Yanga tu, mnadanganyika na kuchezewa akili zenu. Vingozi wenu hawawaheshimu.

UnAUMIA PICHA YA BWANA AKO KUCHANWA KIASI HIKI? KWELI UNAMPENDA.
 
Mbumbumbu ni wale walioletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu, wakafurahi na kumpa kura za ndiyo Mangungu
Mbumbumbu ni watanzania wote walioridhia kutawaliwa na wahuni wa CCM milele...

Wewe ni mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…