Simba Imekamilisha Usajili wa Beki Devid Kameta Duchu

Simba Imekamilisha Usajili wa Beki Devid Kameta Duchu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
- Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. -David amekuwa kwenye kiwango bora sana eneo la beki ya pembeni tangu akiwa Geita na mwendelezo mzuri Manungu, ilivutia Simba na kusaini kandarasi mpya mwezi April wa kuendelea kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi.

4A6AA8E5-59D2-4B22-AC3A-13FB9738097C.jpeg
 
MWENDA ANAOZEA BENCHI.....mchezaji mbovu amekariri kucheza namba moja tu....MBUMBUMBU wajifunze kwa Yanga.
 
Back
Top Bottom