Simba imekataa kurudiana na timu iliyowafunga 7-0

Simba imekataa kurudiana na timu iliyowafunga 7-0

mpyonko

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
353
Reaction score
389
Simba imeona iepuke aibu na fedheha baada ya kukataa ombi la mechi ya kirafiki na timu ya Africa kusini iliyowashindilia 7-O.
Simba imedai inaogopa kucheza kwa madai inaweza sababisha majeraha kwa wachezaji inayowategemea kwasabb wanahofia mechi ya ngao ya hisani dhidi ya mabigwa Mara tatu mfurulizo timu ya Yanga.
 
Ni timu gani hiyo isiyo na jina?

Vv
FB_20170801_11_24_09_Saved_Picture.jpg

Hiyo hapo...
FB_20170801_11_24_09_Saved_Picture.jpg
 
Bora wamefanya maamuzi Hayo kuliko kulitia aibu taifa kwakichapo kingine
 
Simba imeona iepuke aibu na fedheha baada ya kukataa ombi la mechi ya kirafiki na timu ya Africa kusini iliyowashindilia 7-O.
Simba imedai inaogopa kucheza kwa madai inaweza sababisha majeraha kwa wachezaji inayowategemea kwasabb wanahofia mechi ya ngao ya hisani dhidi ya mabigwa Mara tatu mrulizo timu ya Yanga.
Mshalipa deni la mtibwa baada ya kuiba miwa yao
c6798e4a828799c471f42b9b05e00282.jpg
14112c45d3c372545386b562fe6abc99.jpg
 
Back
Top Bottom