Simba imekuwa timu oya oya

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Viongozi siasa janja janja oya oya, makocha wanaletwa oya oya, wachezaji oya oya, mashabiki na wanachama oya oya yani wote hawajielewi. Kwa vile mudy na wenzake ni oya oya wamejua sisi ni oya oya (hamnazo) basi wanafanya chochote kioya oya.

Tumekuwa oya oya fc
Nachukia kuitwa kolo
 
Wewe ni Kolo tu.. Na makolo wenzako wanakuja 🤠🤠🤠.. Shida ya simba maneno janjaa mingii, mwaka huu hadi wewe utakuwa kocha..
 
Kama juzi mashabiki oya oya wanapiga kelele hawamtaki matola sasa unajiuliza tatizo la matola ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…