Simba imeloaaaa! Khamsa Salam mpya mjini!

Moshi25

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,555
Reaction score
4,118
Yanga imedhihirisha ukubwa wake Kwa Simba khamsa za Leo si kitoto japo mi niliziona na nilisema kabla ya mechi kwenye Uzi maalum wa mechi hii , Simba tumewakanda kipigo Cha mbwa Koko 5G kama nilivyotabiri maana Makolokwinyo walizidi mdomo!

Pira GAMONDI halina mpinzani ni mwendo wa 5G tu Kila atakaesogeza sharubu!

Simba hii haina fomesheni wala possession, timu imejaza vikongwe hawana pumzi na kwasasa Simba iko level moja kwa kiwango na timu kama KMC , Jkt , Dodoma Jiji na Mashujaa!

Ushauri wa Bure, Simba hii haina ubavu kwa Yanga dawa ijenge timu upya na ipunguze tambo zisizo na faida!

Poleni sana watani! Leo mnalala na viatu kwa mara ingine baada ya muendelezo wenu wa kufa kiume!!

Salam mpya mjini ni khamsa!
Na Bado!
Mpaka mseme!
 

Attachments

  • images (1).png
    5.6 KB · Views: 1
Simba shida ilisemwa watu wakaonekana wanafiki kocha yule sio kbs
 
Nimefurahi sana. Ni kama amejibiwa ahmed ally. Mropokaji asie na brake. Hii ndio YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…