Simba imepata kocha mpya wa makipa

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa.

Maelezo zaidi yatakuja baadae


 
Huyo kocha ni noma mazee hiyo CV yake nilivyoiona kuna haja ya simba kuipunguza makali kwa kuficha baadhi ya experience yake ili bacelona wasije wakamgombea, maana tulivyo mchukua pablo wali mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…