Simba imepiga bismillah kuianza safari

Eti penalty imewaokoa!!!mbona mna vuta mdomo sana kama mke mdogo.basi tulifungwa 2 kwa moja na mwadui nimesha itoa penalty sasa.
Teh Teh Teh nimecheka sana...eti " mke mdogo"
 
Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.
Kwanini na nye msiunde kikosi cha bil1.3 nani kawazuia
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
We mkaka una maakili nakupenda hivi umewowa jaman niwe hata mkeo wa pili
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
I second you
 
Juzi refa kaondoka na mil 6 yake kwa ule mgoli wa okwi
 
Iv yanga na yule jamaa Wa magogoni na bashite baba yao sio fisi m?
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Na hapo yanga kadro nyumban
 
Kwanini na nye msiunde kikosi cha bil1.3 nani kawazuia
Mwenye nazo aliswekwa ndani na kutoka bila kosa. Sisi wapenzi wa Yanga tunafahamu vema pale tulikojikwaa, haya matokeo ya Yanga tunayoyapata sasa ni ya kule tulikoangukia tu baada ya kujikwaa.
 
Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.

Sasa simba ina point ngapi, magoli mangapi ya kufunga na kufungwa na nani anaongoza? what do you want?
 
Simba ni wazuri sana.. Sanaaaaa.... Misimu mitatu Simba ni wazuri.. Mimi Yanga lakini Simba wanashindwa tu kumaliza ligi ... mwaka juzi Simba alikuwa anaongoza point 12... Yanga alikuwa kwenye makundi CAF, Simba wakapoteza rhythm (mdundo wa ala) pale waliposema hawachezi mpaka Yanga wacheze wakapeleka wachezaji likizo mwezi waliporudi wakapoteana.... Hata msimu huu ni wazuri mnoooo lakini!!!!!..... Wakikosea hesabu tu inakula pande yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…