Simba imepiga bomu Mochwari, Kelele kama zote

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Hizi timu sijui Caf wanaziokotea wapi, Yaani ile basic football tu hawajui.
Kifupi Simba imekutana na timu dhaifuu sana, Nadhani ni Dhaifu kuliko hata Zalan ya Sudan.

Simba angekuwa kundi lingine lolote lile angeburuza mkia maana hakuna timu mbovu mbovu kama hawa Makirikiri.

Leo rukeni rukeni ila Mwisho wenu ni hapo robo tu...
 
Vyura leo mnanena kwa lugha mpaka raha... kila mmoja wenu ananena kwa sauti yake, nimehesabu mpaka sasa mna sauti ya kwanza mpaka ya kumi..

Na bado mpaka zifikie sauti ya 17..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mechi ndio unaongeza haya
 
wenye robo yao wanaingia kibabeeee
 
Uzuri Simba tumeshazoea kuingia robo ndo mana husikii mtu kazimia na kukimbizwa hospital.
 
Ramli chonganishi zinapofeli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
So mbaya Ina maana huko mochwari hakuna hata wafanyakazi na walinzi au wamepona?
 
afu kumbe timu ilianzishwa 2014...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…