Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Kocha hafai huyuHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Anaboa *****Na limfikie haswaaa...tumemchoka tena tumechoka haswaaa...sijui ana matatizo gani...
Usichokijua nikwamba Moses Phiri aliwahi kula manzi ya Robatinyo,,, ndomana hata hayo yote yanamkuta . Nikama vile Morinyo alivyowahi kumkalisha benchi mchezaji flani huko ulaya kwasababu tu alikuwa akideti na mtoto wakeHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Kuna watu knowledge ya Mpira wanazidiwa na wacheza redeUnatumia hasira kuraise arguments zako, sidhani hata kama Simba wenzako watakubaliana na wewe.
Hii ilikuwa mechi ya majaribio, huwezi kumlaumu Kocha kuanzisha Ngoma nje, pengine ana vitu vyake alikuwa anaangalia. Hivi unadhani kwenye mechi ya ushindani Kocha anaweza kumuweka Kibu namba 9, alaf Baleke aanzie nje?
Kuna watu mnaendaga kuangalia for the sake ya kupoteza muda tu.
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Acheni unazi, muacheni Kocha afanye kazi yake. Hapo ndiyo Simba huwa mnazingua sana, hamna uvumilivu kabisa nyie watuNa limfikie haswaaa...tumemchoka tena tumechoka haswaaa...sijui ana matatizo gani...
Duuh makubwaa tenaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Usichokijua nikwamba Moses Phiri aliwahi kula manzi ya Robatinyo,,, ndomana hata hayo yote yanamkuta . Nikama vile Morinyo alivyowahi kumkalisha benchi mchezaji flani huko ulaya kwasababu tu alikuwa akideti na mtoto wake
Nina wasiwasi kama wewe ni mchezaji ambaye umewahi kucheza mechi za ushindani mtaan kwako wewe unaonekana ni shabiki tu wa mpira,,, Ngoma hawezi kutupa kombe wanasimba niamini mimi ila mzamiru anaweza kutupa kombe,,,,Ngoma yupo kama mkude ngoma yupo kama mgalu anahitaji msaada mkubwa kuliko yeye kutoa msaada ,wakimchezesha yeye timu itapata tabu sana kufunga kuliko mzamiru na timu itakuwa inachezea half ya simba kuliko ya wapinzani coz Ngoma hana speed anapenda slow gemu naandika leo yakumbuke haya maneno lig itaanza urud tena hapaHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Acha ujinga ile chumaaa mkuu