themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Hawa ndio wazee tunaowategemea kuchukua uningwa na kuishinda yanga, Angalia pale mzee Ntibazonkza, Mzee Chama,Mzee Bocco Mzee Mzamiru, Mzee kapombe maaana kapombe mm nna miaka 31 kipindi nasoma yupo simba sijui yeyeye ana miaka mingapi now, shabalala mwenyewe ni mzeee kakomaa ndio maana anaonekana mtoto.
Inshort Simba inatakiwa izingatie sana Umri.
Inshort Simba inatakiwa izingatie sana Umri.