Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Kwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??Habari
Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA.
ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea.
Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli.
Sipo hapa kwa unafiki ila kiukwel naumia.
Simba please do something.
Tatizo lipo kwa mwekezaji moo dewji atoi pesaKwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??
Na captain J.R. BokoTunajenga timu, tunamrudisha Onyango, Kaseja na Kagere msimu ujao tutakuwa moto
Hata angettoa fedha kiasi ganii sio zuio la kufungwa. Kufungwa ni jambo la kawaidaTatizo lipo kwa mwekezaji moo dewji atoi pesa
asa wew kama ni Yanga unaumia nin Simba kuangamia Ndio maana mayele anawatukana ovyo dundukaaa mkubwa weHabari
Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA.
ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea.
Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli.
Sipo hapa kwa unafiki ila kiukwel naumia.
Simba please do something.
We upo kiembesamaki, unajuaje kama hatoi pesa?Tatizo lipo kwa mwekezaji moo dewji atoi pesa
We ndio umeandika kwa jazba na ujuaji. Hakuna mpenda soka anayefurahia migogoro na anguko la Simba. Tulishatoka huko mkuu.asa wew kama ni Yanga unaumia nin Simba kuangamia Ndio maana mayele anawatukana ovyo dundukaaa mkubwa we
Hawa ni wapuuziKwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??
Yaaani washabiki wa tanzania huwa wanakera saana. Nikujifanya wajuaji kwa kila kitu. Suala simba kufungwa ni jambo la kawaida kabisa, na wala halihusiani na mwekezaji wala viongozii. Timu kubwa za ulayaa zinatandikwaga tuu na timu ndogo na wala hatujaona matusi kama haya yakwetu. Mbona mamelod pamoja na kuwa na kikosi chenye thamani kubwa, nani asiyejua kwamba walifungwa na yanga? Mpira unadunda, mashabiki wa tanzania tujitaidi kuvumilia timu zetu kwa kila hali.. hata leo simba au timu yoyote ikisajiri hao wachezaji wenye viwango watupu, haimaniishi kwamba ni zuio la timu kutokufungwaa. Mpira unadunda. Tuwe wavumilivu, tuwatie moyo wachezaji wetu tusiwavunje moyoo, bado safari inaendelea.Hawa ni wapuuzi
Sa kama hatoi si aondoke kwani kaziliwa kuidhamini Simba?aondokeTatizo lipo kwa mwekezaji moo dewji atoi pesa
Shida ni Simba kufungwa mfululizo na kila timu iwe ndogo (Prison na Mashujaa) au kubwa Yanga 5-1 na Al Ahly 3-0 Aggr, hilo ni anguko la wazi na si la kupuuza maana mashabiki wa mbumbumbu fc wanahuzunika sana!!Kwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??
Amegoma kutoka.Sa kama hatoi si aondoke kwani kaziliwa kuidhamini Simba?aondoke
Acha unafiki na kujifanya ndumila kuwili nyiny si ndio mlikua mnapokea had wagen wa simba had mnavaa jezi zao mkiongozwa na Raisi wenu leo mnajifanya mna uchungu na Simba narudia tena acheni unafikiWe ndio umeandika kwa jazba na ujuaji. Hakuna mpenda soka anayefurahia migogoro na anguko la Simba. Tulishatoka huko mkuu.