Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu, la sivyo tutajikuta timu ni mali ya Bwana MO

Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu, la sivyo tutajikuta timu ni mali ya Bwana MO

Hata hvo hakuna namna ya kujinasua kwake, hisa alizonazo 49%ni mtego mkubwa .
 
Iwe mali yake kwa mara pili mfululizo!! Mbona tayari mpaka sasa hiyo timu ni mali yake halali. Na ameinunua kwa bilioni 20.
 
Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani.

Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni mali ya bwana MO mpaka sasa.

Makubaliana na wewe, I think pia wanachama wa Simba wanatakiwa kutafuta wanasheria ambao watafatilia pesa za usajiri na salary's za wachezi zinatoka wapi

Coz wao hawatoi ela yoyote
 
Mbona mnamsumbua tajiri, si alishasema ameinunua Simba?
 
Back
Top Bottom