Simba inatakata uwanja wa taifa.

EGPTIAN

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
34
Reaction score
8
Simba 4 - 0 Yanga. Kaseja anafunga bao la 4 kwa penalti. Okwi amefunga 2 na Sunzu kwa penalti. Hadisasa mashambulizi ni makali simba wanashambulia sana.
 
naona kama kawaida mmenunua refa.mnapata penalt ya tatu
 
Mafisango goooo! La 5. Simba 5 - 0 Yanga. Ubingwa umenoooga kwa kuwapa kichapo yeboyebo,wanacheza hovyo tu yanga uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…