Simba inatisha yawapiga waarabu wa misri goli 3

Simba inatisha yawapiga waarabu wa misri goli 3

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Simba inatisha

🚨 π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ-π—§π—œπ— π—˜

1721673708146.png

Mechi ya kirafiki ya dakika (120) ilihokuwa na vipindi (3) imekamilika huko Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬

Full β€” Simba 3 - 0 El Qanah

⚽⚽ Jean Charles Ohoua.
⚽ Okejepha.

ℹ️ Mchezo huo umechezwa katika vipindi vitatu vya dakika (40") dhidi ya timu hiyo ya daraja la pili Egyot.

Takwimu za El-Qanah πŸ‡ͺπŸ‡¬

β—‰ 28 - Games.
β—‰ 09 - Kushinda.
β—‰ 10 - Kupoteza.
β—‰ 27 - Mabao ya kufunga.
β—‰ 23 - Mabao ya kufungwa.
β—‰ 10 - Nafasi kwenye ligi kati ya timu (10.

Tom Cruz facts 🧠
 
Wadau hamjamboni nyote?

Simba inatisha

... 🚨 π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ-π—§π—œπ— π—˜

Mechi ya kirafiki ya dakika (120) ilihokuwa na vipindi (3) imekamilika huko Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬

Full β€” Simba 3 - 0 El Qanah

⚽⚽ Jean Charles Ohoua.
⚽ Okejepha.

ℹ️ Mchezo huo umechezwa katika vipindi vitatu vya dakika (40") dhidi ya timu hiyo ya daraja la pili Egyot.

Takwimu za El-Qanah πŸ‡ͺπŸ‡¬

β—‰ 28 - Games.
β—‰ 09 - Kushinda.
β—‰ 10 - Kupoteza.
β—‰ 27 - Mabao ya kufunga.
β—‰ 23 - Mabao ya kufungwa.
β—‰ 10 - Nafasi kwenye ligi kati ya timu (10.

Tom Cruz facts 🧠
Thimba nguvu moya.
 
Daah jamaa kaja na Takwimu za Timu pinzani kwa kuandika wakati ipo kwenye misimamo wa ligi yao kaipotezea maana ni ya mwisho kabisa.
 
Simba wamecheza na timu ya daraja la pili tena timu yenyewe inashika nafasi ya 10 kwenye msimamo.

Hapo ni sawa na kupiga bomu chumba cha maiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom