Simba inavyozama sasa una chochote cha kuwashauri?

Kipato huleta majivuno, tulipata tukajiona sie ndo sie tukabweteka ona sasa tumekuwa wa kuunga unga.
 
Hao ndiyo Mashabiki wa utopoloni wenye ubongo uliochanganyikana na kamasi.Akili zao na kondoo hazipishani.
 
Mlifungwa ngao ya jamii na Mayele so umecheza mechi 13 umefungwa 3 umedraw 3 na kushinda 7
 
Huyu mhuni wa utopolo kindakindaki.
 
Wewe ni mamluki, wana simba tunajuana, Pancho ni simba kindakindaki
[emoji1787][emoji1787] acheni ushenzi ( kiutani wa jadi) na huyo jamaa yako nyie ni utolo lialia nawafahamu kabisa bila wasiwasi.
 
Simba wabovu kuchukua Mpira kwa Audi, kukaba njia; kucheza kutimu mbovu.kila mchezaji anajiangalia yeye kasi ya kukaba n.a. kwenda kwa Audi mbovu umri wachezaji wengi, kichwani sifa n.a. Bata kuliko matokeo uwanjani
 
Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa
Fact...

Mtoa mada ni utopolo anaweweseka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…