Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndiyo Mashabiki wa utopoloni wenye ubongo uliochanganyikana na kamasi.Akili zao na kondoo hazipishani.Simba imecheza mechi nane za ligi haijafungwa hata moja zaidi ya kutoa droo tatu na kushinda tano na inashika nafasi ya pili nyuma ya yanga
Imecheza mechi mbili za club bingwa moja imeshinda ugenini na moja imepoteza nyumbani
Imecheza shirikisho imeshinda moja nyumbani na kufungwa moja ugenini
Kwa ujumla imecheza jumla ya mechi 12 na imepoteza mbili Tu tena za kimataifa
So Kwa mantiki hii ni bado mapema sn Kusema Simba ni timu mbovu au ina wachezaji wabovu ,wakati inawapumulia yanga kisogoni.
Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa
Mleta mada,bado mapema Sana kuandika nyuzi za Aina hii, kuna timu ulaya zimecheza mechi zaidi ya 20 bado hazijawa competent kwenye ligi zao lkn mashabiki wa hizo timu hawana wenge km wewe.. Simba mechi 12 unaihuku timu mbovu?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mlifungwa ngao ya jamii na Mayele so umecheza mechi 13 umefungwa 3 umedraw 3 na kushinda 7Simba imecheza mechi nane za ligi haijafungwa hata moja zaidi ya kutoa droo tatu na kushinda tano na inashika nafasi ya pili nyuma ya yanga
Imecheza mechi mbili za club bingwa moja imeshinda ugenini na moja imepoteza nyumbani
Imecheza shirikisho imeshinda moja nyumbani na kufungwa moja ugenini
Kwa ujumla imecheza jumla ya mechi 12 na imepoteza mbili Tu tena za kimataifa
So Kwa mantiki hii ni bado mapema sn Kusema Simba ni timu mbovu au ina wachezaji wabovu ,wakati inawapumulia yanga kisogoni.
Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa
Mleta mada,bado mapema Sana kuandika nyuzi za Aina hii, kuna timu ulaya zimecheza mechi zaidi ya 20 bado hazijawa competent kwenye ligi zao lkn mashabiki wa hizo timu hawana wenge km wewe.. Simba mechi 12 unaihuku timu mbovu?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu mhuni wa utopolo kindakindaki.Simba imecheza mechi nane za ligi haijafungwa hata moja zaidi ya kutoa droo tatu na kushinda tano na inashika nafasi ya pili nyuma ya yanga
Imecheza mechi mbili za club bingwa moja imeshinda ugenini na moja imepoteza nyumbani
Imecheza shirikisho imeshinda moja nyumbani na kufungwa moja ugenini
Kwa ujumla imecheza jumla ya mechi 12 na imepoteza mbili Tu tena za kimataifa
So Kwa mantiki hii ni bado mapema sn Kusema Simba ni timu mbovu au ina wachezaji wabovu ,wakati inawapumulia yanga kisogoni.
Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa
Mleta mada,bado mapema Sana kuandika nyuzi za Aina hii, kuna timu ulaya zimecheza mechi zaidi ya 20 bado hazijawa competent kwenye ligi zao lkn mashabiki wa hizo timu hawana wenge km wewe.. Simba mechi 12 unaihuku timu mbovu?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
topolo lenzako hiloWewe ndio mwana Simba mwenye kujitambua
Sawa mkuu,Ila bado siyo timu mbayaMlifungwa ngao ya jamii na Mayele so umecheza mechi 13 umefungwa 3 umedraw 3 na kushinda 7
Wewe ni mamluki, wana simba tunajuana, Pancho ni simba kindakindakitopolo lenzako hilo
[emoji1787][emoji1787] acheni ushenzi ( kiutani wa jadi) na huyo jamaa yako nyie ni utolo lialia nawafahamu kabisa bila wasiwasi.Wewe ni mamluki, wana simba tunajuana, Pancho ni simba kindakindaki
Wewe Wasema, ila Sisi ni makolo hata Barbara anajua we boya[emoji1787][emoji1787] acheni ushenzi ( kiutani wa jadi) na huyo jamaa yako nyie ni utolo lialia nawafahamu kabisa bila wasiwasi.
Simba wabovu kuchukua Mpira kwa Audi, kukaba njia; kucheza kutimu mbovu.kila mchezaji anajiangalia yeye kasi ya kukaba n.a. kwenda kwa Audi mbovu umri wachezaji wengi, kichwani sifa n.a. Bata kuliko matokeo uwanjaniWakuu
Team yetu ya simba kwa sasa iko vibaya sana na hovyo, kiasi kwamba hata mechi zimekuwa za kuunga unga, tunaogopa hata kucheza na kina kagera..!
Kiuongozi pia team yangu pendwa inazama sana kwani tajiri yetu MO anazidi kujitajirisha na kuleta migogoro ndani ya timu kupitia CEO wake Barbra.
Hata kiuwezo tumesajiri wachezaji wengi wa kawaida na kwa kukurupuka sana tofauti na wenzetu yanga.
Hebu fikiria sisi simba wa kushinda kamoja kamoja kweli?
Sisi simba brand kubwa hata kujenga uwanja kama wa ihefu mpka tuchangishane/ kutembeza bakuri.
Angalia yanga wamemchukua Denis nkane ambaye ni promising talent kutokana na umri wake, sisi tunakazania wazee kina bocco, onyango, kapombe, wawa, kagere, hawa walipaswa kucheza championship huko..
Simba yangu inazama, shauri chochote kabla team yetu haijazama..
Naam mzee mwenzangu nashangaa eti anadai mimi sio simba hajui nimechangia kiroba cha matikiti tujenge uwanja.Wewe ni mamluki, wana simba tunajuana, Pancho ni simba kindakindaki
Uto hujamboNaam mzee mwenzangu nashangaa eti anadai mimi sio simba hajui nimechangia kiroba cha matikiti tujenge uwanja.
Una mlengo wa kunichafua mzeeUto hujambo
Fact...Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya mkuuTwende nae taratibu tu ataelewa,tusitumie hasira.Hawa jamaa ninwabishi, wagumi kuelewa na wajuaji ndy maana Luc Eymel akawapa lile jina mbaya