Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Raja CA kwenye ligi yao anashika nafasi ya nne, ambapo kwenye makund simba alipigwa na Raja nje ndan tena sio chin ya goal 3, leo anaenda kukutanan na mtan wa Raja ambaye ndo Wydad, ambaye yupo nafas ya pili tena ndo mtetez, tusubiri mpira unadunda
Moto utachemka
 
Kuna haja ya kuwatumia mabeki wote kwenye hii hatua. Yaani timu iwe hivi.

1. Manula
2. Shabalala au Gadieli
3Kapombe au Isaeli
4 Unyango
5. Innonga
6. Kennedy.

Hapa namba sita inaweza kucheza hata na Innonga kama Simba watakuwa wanashambulia. Wakishambuliwa wote wanarudi ndani ya mstari wa kati.

7. Phili Mozes
8. Kanute, Puttini
9. Baleke
10. Mzamilu
11. Chama.

Ni kikosi imara sana hiki
 
Raja CA kwenye ligi yao anashika nafasi ya nne, ambapo kwenye makund simba alipigwa na Raja nje ndan tena sio chin ya goal 3, leo anaenda kukutanan na mtan wa Raja ambaye ndo Wydad, ambaye yupo nafas ya pili tena ndo mtetez, tusubiri mpira unadunda
Marumo wanaburuza mkia kwenye ligi yao Afrika kusini lakini wameongoza kwenye kundi lao kombe la shirikisho
 
Hiki kikosi nimekipenda . Kama itampendeza kocha akipange hivyo hivyo
 
Robertinho tumsubiri kuona atatuvusha vp
 
Kwani unabadilika kwa waarabu tu sisi weusi haubadiliki?
Umebadilika Kwa baadhi ya timu mfano Yanga ...wamepata mafanikio ya fasta sana......

Ila Simba kitendo Cha kuendelea kuwakumbatia wazee kina onyango...... inaonyesha kuna tatatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…