Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Klabu bingwa ndo hua ina promo kubwa
sasa yanga yupo shirikisho atazungumziwa na nani
yanga ubora wake utazungumziwa na mashabiki wake ambao ndo wanaona kwamba ni timu tishio
kwahiyo CAF waipe promo shirikisho waachane na ligi ya mabingwa
sijui hua mnaongea nini nyie wehu
 
We jamaa unakatwa.
2016 Makundi Shirikisho
2018 Makundi Shirikisho
2022/23 Makundi Shirikisho

Wakati huo wewe ulikuwa kwenu MAHENGE huko.
 
Simba anamechi ngumu sana me naona 70%,30%. Naona watu wanajifarishi ety simba kwa mkapa ashinde 2:0 halafu akashikilie bomba Morocco?
 
Kwa Mkapa Simba anashinda No doubt hasa kama mechi itapigwa saa 10 ila kama saa moja watashuhudia dance Moja matata kutoka Morroco
Ila kule Casablanca ndiko shughuli itakapokuwa nzito maana atakula 8 ili kurejesha goli zake za mkapa
 
Kwa msimu huu, binafsi sina deni na Simba. Sasa hivi nasubiri nione usajili utakaofanyika kwa mashindano yajayo.
Utopoloni tunaamini Simba wote ni mbumbumbu yaani kolo kamwe hawezi kuwaza nje ya box! Like hapa nadhani ungewaza zaidi

shida si kusajili Bali unasajili nani , ana kiwango Gani na je una kocha? Wa level Gani? Je ukisajili kutakuwa na muunganiko kitimu? Je mna hela? je mnalipaje? Je wachezaji Wana furaha, je wachezaji Wana morali? Je wachezaji wanaojitambua mnao?
Mambo ni mengi sio kusajili tu!

Hii level ya boli la Yanga kwa sasa sio miaka michache Makolo kuifikia!! Hebu Ona Mudathir alivyo moto mnapitaje katikati kwa mfano? Bangala, Musonda, Mayele hatari sana!!

Simba imefeli pakubwa mno kujipanga ni five years!!
 
Simba "tatu mzuka fc" sote tunajua ni kawaida yao kuishia robo fainali uwezo mdogo japo spika zake zinapiga hadi mars, hatutaki makelele!!
 
Promo wakati mnapigwa vipigo heavyweight....,then mnajishusha thamani
 
Na hilo ndilo kosa ambalo Simba watalifanya kutaka kumshambulia sana mwarabu tangu dakika ya kwanza ili kummaliza mapema, huku mwarabu akipiga kaunta ataki, shambulizi moja, goli moja.

Navyoona msimu huu Simba akubali alichemka katika usajili wa mabeki. Simba inacheza vizuri kuanzia kati kwenda mbele na wanaweza kuifunga tu timu yoyote, ishu inakuja, je wanaweza kulinda magoli wanayoyapata kwa dakika 90?
 
Haya mbona ni maswali ya wanaoshinda vijiweni bila kazi? Mnabishana weee siku inaisha.

Kama Haya maswali ndiyo huwa unajiuliza kuhusu timu yako, majibu huwa anakupa nani? Au unaitisha kikao na management ya timu uletewe ripoti za usajili, bajeti na player perfomance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…