Simba inazidi kutukatisha tamaa mashabiki, kinachoendelea ni ujinga, vita ya mafahari kwenye uongozi itatuumiza sana

Simba inazidi kutukatisha tamaa mashabiki, kinachoendelea ni ujinga, vita ya mafahari kwenye uongozi itatuumiza sana

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
kinachoendelea ni kama maksudi hivi kuiharibu timu ili tu kutegeana kiongozi flani apewe lawama ama tuone umuhimu wa kiongozi fulani kwa yeye kutofanya chochote ama kusadia kidogo sana kwa maksudi hata anapokuwa na uwezo wa kuisaidia timu kikamilifu.

Kwa hali hii hata shirikisho sitashangaa tukiishia kwenye hatua za mwanzo kabisa.

Natabiri pia katikati ya msimu ujao viongozi watavurugana zaidi kupelekea hata wachezaji kujikatia tamaa,

Tatizo kubwa ni kwamba timu ishakuwa ya familia milele (tukubali yaishe tulizidiwa akili) na wahindi kama tunavyowajua ni bahili vibaya mno, Timu inageuzwa kama biashara ya kujipatia faida kubwa kwa kutumia gharama ndogo kadri iwezekanavyo.

Kwa uhakika kabisa niwe muwazi kwamba Yanga ni bingwa tena, Azam atashika nafasi ya pili sababu siasa za mpira wa bongo atapitwa na Yanga.
 
Acha ujinga na umama wa kulilia Wanaume wenzio dogo,, nenda kamfuate mmeo Chama Ili mchukue pamoja Ubingwa 2024-2025
 
Mzee Chama ndiye kakuuma kiasi hicho ? Acha mzee wa watu akajichukulie pensheni yake ya usitaafu huko Yanga .
 
Back
Top Bottom