Simba ingecheza vizuri dhidi Yanga tusingetumia nguvu nyingi kwenda uwanjani

Mkuu tunataka timu bora, timu ilikuwa mbovu ila ushindi kwa mechi zilizopita ulificha machungu, kila mechi hamna mpira nzuri ila tunashinda, mechi nzuri ilikuwa ile ya Al Ahly. Timu inashinda lakini hamna furaha
Mkala Tano za uhakika kwa hio wimbo mpya sasa ni timu mbovu? 🤪
 
Mashabiki wanatakiwa kuonyesha reaction kuonyesha hawataki kuburuzwa hata upigaji utapungua viongozi wataogopa na wachezaji wataleta umakini, hawa wachezaji wamesifiwa sana kiasi kwamba wameota mapembe wanacheza kibishoo
Inatakiwa hiyo mechi waingia mashabiki chini ya 500 akili ziwarudi hao viongozi uchwara na wachezaji mabishoo
 
Utakua ulipigwa bomba haswaaa...kama ulishindwa kutembea...ndo maana hii imekua sherehe kwenu kumbe mliumia sana hiyo siku...5...0
Mmepigwa bomba goli 5 mnachechemea hadi leo 🤪
 
Inatakiwa hiyo mechi waingia mashabiki chini ya 500 akili ziwarudi hao viongozi uchwara na wachezaji mabishoo
Saido shuti ikigonga mwamba anashika kichwa na kusimama badala ya kwenda kuifuata, mchezaji akiguswa kidogo wote wanasimama wakisubiri filimbi refa anapeta tunafungwa
 
N
Mmepigwa bomba goli 5 mnachechemea hadi leo 🤪
Nyie malimbukeni..endeleeni kuchekelea goli 5 kama nyie ndo wakwanza kufunga...wakati mlishatobolewa huko nyuma na mnyama...
 
Hiyo game watu hawatajaa wala kutema kama siku zote. Mashabiki wasituchukulie poa sana wasituletee siasa kwa foota
 
Goli 5 umepigwa bomba haswa lazima ulie siku ile nilikuona unatokwa machozi 🤪
Unanichosha...huna kazi ya kumkanda mkeo hizo goli 5? Au unashabikia magoli 5 wakati ww goli moja unahema kama jogoo...
 
N

Nyie malimbukeni..endeleeni kuchekelea goli 5 kama nyie ndo wakwanza kufunga...wakati mlishatobolewa huko nyuma na mnyama...
Nyinyi mmetobolewa huko nyuma na nani? 😆🤪
 
Wewe umesema mna timu mbovu ndio maana mmepigwa bomba 5 au sio wewe? [emoji38][emoji2957]
Kwani siku ile ubovu hukuona? Timu iliyokamilika haiwezi kupigwa 5 kirahisi,nye wenyewe ham-amini bado mnasherekea mwezi mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…