Simba ingecheza vizuri dhidi Yanga tusingetumia nguvu nyingi kwenda uwanjani

Kwani siku ile ubovu hukuona? Timu iliyokamilika haiwezi kupigwa 5 kirahisi,nye wenyewe ham-amini bado mnasherekea mwezi mzima
Kwa hio unasema mna timu mbovu? Mo amesajiri magalasa? Anamwaga mabillion kusajiri magalasa? 😆🤪

Kalpana umasikia mtani wangu wa Jf
 
Kwa hio unasema mna timu mbovu? Mo amesajiri magalasa? Anamwaga mabillion kusajiri magalasa? [emoji38][emoji2957]

Kalpana umasikia mtani wangu wa Jf
Timu Bocco anapata namba,Onana anaingia kwenda kuonyesha nywele,manula anaingia mtu hajacheza zaidi ya nusu mwaka
 
Timu Bocco anapata namba,Onana anaingia kwenda kuonyesha nywele,manula anaingia mtu hajacheza zaidi ya nusu mwaka
Mboni Manura leo anadaka kipa namba 3 Taifa stars, na ile Mechi na Niger alidaka na hakufungwa vipi? 🤪
 
Mboni Manura leo anadaka kipa namba 3 Taifa stars, na ile Mechi na Niger alidaka na hakufungwa vipi? [emoji2957]
Niger ni timu mbovu zaidi, mbona leo kwa Morocco hajaanzishwa?
 
Msimuangushe Jaribu Again juzi katoka kuchukua tuzo yenu South kama mashabiki bora kajazeni uwanja, mspofanya hivyo Rais wa FIFA hawezi tena kumgeukia Jaribu Again na kumsifia kama alivyo faya South.
 
Timu Bocco anapata namba,Onana anaingia kwenda kuonyesha nywele,manula anaingia mtu hajacheza zaidi ya nusu mwaka
Onana bei yake USD 200k,huwezi kuiweka USD 200k kwenye benchi.
 
Hamna kwenda uwanjani. Kama viongozi hawapati matokeo basi wanafurahia mapato, basi tukose wote
 
Hao viongozi ndio wachawi wa simba hawafai..alafu mtu anaambiwa ajiuzulu bado ang'ang'ania hiyo timu yafamilia yake..?Hayo mapandizi yaliyohujumu pamoja na huyo msemaji wameshatimiza mpango wao..sasa wakuja kucheza na akili za mashabiki upumbavu tu..ngozi nyeusi usengx mtupu
 
Mashabiki wa bongo wanahitaji hamasa
 
Mmehujumiwa nini?
 
Ww ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
Mshinde wapi , mnakula tatu za Moto
 
Inaitwa HAMSA. Lakini tukupumbuke pia kuwa yaliopita si ndwele.

Ahmed Ali alipoonywa na Jane Kishai wa Mpenja TV kuwa Yanga imepanga kuwashusia kipigo cha 5G alicheka kwa dharau sana. Video yake sijui iko wapi lakini iliwahi kuwekwa hapa JF
 
Ww ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
Mtoa mada katoa facts, wewe unakuja na porojo tupu!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…