Simba ipo vizuri lakini Mugalu, Wawa na Boko ngoma bado ngumu

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Hongera kwa timu ya Simba sports club kwa kujitahidi kufanya vzuri katika mashindano ya kombe la shirikisho.

Hadi wakati huu hatuna mashaka kuwa Simba ndiyo pekee ya Afrika mashariki inayofanya vyema katika mashindano ya kimataifa.

Lakini kila mafanikio kuna udhaifu ndani yake ili Simba iweze kujiimarisha ipasavyo Basi ni lazima wakubali kusajili wachezaji wazuri zaidi n wenye uzoefu lakini pia kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao uwezo wao umekishwa kwa Sasa na wamekuwa mizigo .

Kwa mtazamo na ukweli wa Mambo simb ainabidi iachane na beki wao Sergio Wawa ambaye kwa Sasa ameonekana hayuko na Chris Mugalu na babu John Boko hawa wachezaji waachwe ili Simba isajili wachezaji wamaana kwaajili ya kufanya vzuri kimataifa.
 
Kagere kafika mwisho, Wawa, Mugalu lkn sidhani km Simba watamwacha Bocco leo wala kesho
 
Tunatakiwa tupate striker kama Mayele au nasema uongo wanamsimbazi?
Ukisema striker wa maana kusajiliwa na Simba Mayele hata tatu bora ktk list hayupo. Hana viwango vya ktk mashindano ya kimataifa. Ni saizi ya mechi na Dodoma Jiji, Mbuni nk

Hakuna striker wa maana anaweza kuachwa au kuuzwa na timu kwenda yanga. Ni wa kawaida sana ndiyo maana yanga wakampata.
 
Haha wasalimie Morrison, dilunga na mhilu wachezaji wa kimataifa.
 
Ukisema striker wa maana kusajiliwa na Simba Mayele hata tatu bora ktk list hayupo. Hana viwango vya ktk mashindano ya kimataifa. Ni saizi ya mechi na Dodoma Jiji, Mbuni nk

Hakuna striker wa maana anaweza kuachwa au kuuzwa na timu kwenda yanga. Ni wa kawaida sana ndiyo maana yanga wakampata.
Ha ha ha Mkuu, haya maneno yako yananikumbusha enzi zile watu walipokuwa wanaponda kuwa Bernard Morrison hana kiwango zaidi ya kupanda mpira tu na wizi wa magari. Lakini siku hizi ni tegemeo hadi kwenye International Game (Refer match za Red Arrows na Gendamariers). Kuwa Shabiki wa Yanga/Simba kuna raha sana, unaweza kuongeza siku za kuishi au kinyume chake!
 
Nyinyi mnasajili qanamuziki sisi tunasajili wachezaji wa kimataifa
 
Ukisema striker wa maana kusajiliwa na Simba Mayele hata tatu bora ktk list hayupo. Hana viwango vya ktk mashindano ya kimataifa. Ni saizi ya mechi na Dodoma Jiji, Mbuni nk

Hakuna striker wa maana anaweza kuachwa au kuuzwa na timu kwenda yanga. Ni wa kawaida sana ndiyo maana yanga wakampata.
Basi Tufanye Mugalu Ndio Striker Wa Maana Na Mzamiru Ndiye Kiungo Bora Na Hatari Hapa Bongo [emoji4]
 
Kesho Ni Siku Mbaya Kwa Makolo Kwani Watafungwa Na Berkane...Huku Yanga Tunamfunga Kagera Sugar Gape Linakuwa Point 11 Na Mbaya Zaidi Wasiyempenda Mzee Wa Kudonoa Fiston Kalala Mayele Anatupia Tena (Frustration)
 
We chura mbona umeniweka kwenyev mabano
 
Ha ha ha Mkuu, haya maneno yako yananikumbusha enzi zile watu walipokuwa wanaponda kuwa Bernard Morrison hana kiwango zaidi ya kupanda mpira tu na wizi wa magari. Lakini siku hizi ni tegemeo hadi kwenye International Game (Refer match za Red Arrows na Gendamariers). Kuwa Shabiki wa Yanga/Simba kuna raha sana, unaweza kuongeza siku za kuishi au kinyume chake!
Ndo maana mkaenda CAS?
 
Ukisema striker wa maana kusajiliwa na Simba Mayele hata tatu bora ktk list hayupo. Hana viwango vya ktk mashindano ya kimataifa. Ni saizi ya mechi na Dodoma Jiji, Mbuni nk

Hakuna striker wa maana anaweza kuachwa au kuuzwa na timu kwenda yanga. Ni wa kawaida sana ndiyo maana yanga wakampata.
Timu anayochezea Mugalu kama forward wa kutegemewa hata Saliboko anakuwa star.
 
Back
Top Bottom