Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Hongera kwa timu ya Simba sports club kwa kujitahidi kufanya vzuri katika mashindano ya kombe la shirikisho.
Hadi wakati huu hatuna mashaka kuwa Simba ndiyo pekee ya Afrika mashariki inayofanya vyema katika mashindano ya kimataifa.
Lakini kila mafanikio kuna udhaifu ndani yake ili Simba iweze kujiimarisha ipasavyo Basi ni lazima wakubali kusajili wachezaji wazuri zaidi n wenye uzoefu lakini pia kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao uwezo wao umekishwa kwa Sasa na wamekuwa mizigo .
Kwa mtazamo na ukweli wa Mambo simb ainabidi iachane na beki wao Sergio Wawa ambaye kwa Sasa ameonekana hayuko na Chris Mugalu na babu John Boko hawa wachezaji waachwe ili Simba isajili wachezaji wamaana kwaajili ya kufanya vzuri kimataifa.