Simba itadhalilika sana nadhani sasa vitimu vitakuwa vinajipigia tu ama sare

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.

Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.

Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu.
Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.

Propaganda zitawaathiri sana mashabiki wa Simba. Hakuna mchezaji yeyote aliyesimamishwa, wote wanapiga mazoezi kama kawaida kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo. Mnatulizwa tu kiaina hakuna mchezaji yeyote aliyeuza mechi ule ndio uwezo wenu. Kama viongozi wenu wanajiamini wakafungue kesi ya rushwa TAKUKURU. Hapo chini nimeweka wachezaji tajwa wakiendelea kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo.
IMG_20231108_182348.jpg
 
Yanga bila rushwaaaa hawezi kumfunga simba hili tunalijua miaka nenda rud......f*ck tanga mnatualibia mpira wetu wa tz yaani mnaendekeza rushwaaa kwa kuwaraghai wachezaji ili uongoz wa gsm uendeleeee kula pesa zenu washabik swain
 
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu.
Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.

Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.

Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana mimi nilisema hizi lawama lawama kwa wachezaji kwa mambo yasiyokuwa na uthibitisho zitatugharimu sana. Kufungwa goli tano kweli inauma sana lakini tukumbuke hii ni ligi tena bado mbichi sana,wachezaji hao wanaotuhumiwa ndiyo hao hao tunawategemea kwenye michezo ijayo.
 
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.

Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.

Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Confidence
 
Sahihi kabisa boss, kwa sasa tuhakikishe malengo yetu ya kutwaa ubingwa msimu huu yapo palepale.
 
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.

Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.

Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ulianza kushabikia Mpira lini?
 
Propaganda zitawaathiri sana mashabiki wa Simba. Hakuna mchezaji yeyote aliyesimamishwa, wote wanapiga mazoezi kama kawaida kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo. Mnatulizwa tu kiaina hakuna mchezaji yeyote aliyeuza mechi ule ndio uwezo wenu. Kama viongozi wenu wanajiamini wakafungue kesi ya rushwa TAKUKURU. Hapo chini nimeweka wachezaji tajwa wakiendelea kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo.View attachment 2808034
Utoto! Wewe ni shabiki wa Mayele Siyo mpira Wala Yanga!
 
Yanga bila rushwaaaa hawezi kumfunga simba hili tunalijua miaka nenda rud......f*ck tanga mnatualibia mpira wetu wa tz yaani mnaendekeza rushwaaa kwa kuwaraghai wachezaji ili uongoz wa gsm uendeleeee kula pesa zenu washabik swain
Mnaendekeza Wachezaji waliopewa rushwa waendelee kucheza? Mna akili kweli nyie?
Fukuza hao wapokea ili timu iwe na nidhamu.

ANGALIZO:
Kama tuhuma zako ni za kupika basi ujue wewe ni kirusi kwenye timu maana unashusha morali ya Wachezaji.
 
Back
Top Bottom