Propaganda zitawaathiri sana mashabiki wa Simba. Hakuna mchezaji yeyote aliyesimamishwa, wote wanapiga mazoezi kama kawaida kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo. Mnatulizwa tu kiaina hakuna mchezaji yeyote aliyeuza mechi ule ndio uwezo wenu. Kama viongozi wenu wanajiamini wakafungue kesi ya rushwa TAKUKURU. Hapo chini nimeweka wachezaji tajwa wakiendelea kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo.Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu.
Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.
Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.
Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana mimi nilisema hizi lawama lawama kwa wachezaji kwa mambo yasiyokuwa na uthibitisho zitatugharimu sana. Kufungwa goli tano kweli inauma sana lakini tukumbuke hii ni ligi tena bado mbichi sana,wachezaji hao wanaotuhumiwa ndiyo hao hao tunawategemea kwenye michezo ijayo.Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu.
Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.
Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.
Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tunakubali simba haina pesa mpaka kuwafanya wachezani wapokee rushwaYanga bila rushwaaaa hawezi kumfunga simba hili tunalijua miaka nenda rud......f*ck tanga mnatualibia mpira wetu wa tz yaani mnaendekeza rushwaaa kwa kuwaraghai wachezaji ili uongoz wa gsm uendeleeee kula pesa zenu washabik swain
Watu wenye tamaa ya pesa hata wakiwa na pesa kiasi gani huwa hawaridhikiKwahiyo tunakubali simba haina pesa mpaka kuwafanya wachezani wapokee rushwa
Sawa tumetoa rushwa tukawapiga tano. Sasa hivi tunajiandaa kutoa rushwa ili tuinunue kabisa team yenu, tuigeuze kua Yanga Princes!Yanga ni simba wap na wap..wametembeza rushwa aisee ..wanajua hawawezi.
Kama simba ingeweka bonus ya kushinda kubwa kuliko rushwa, wachezaji wangefata bonusWatu wenye tamaa ya pesa hata wakiwa na pesa kiasi gani huwa hawaridhiki
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
ConfidenceSaikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.
Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.
Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo pesa za yanga ni za wizi serikalini,ni vigumu kushindana na mafisadi wenye uwezo wa kuchota tu pesa za kodiKama simba ingeweka bonus ya kushinda kubwa kuliko rushwa, wachezaji wangefata bonus
Sahihi kabisa boss, kwa sasa tuhakikishe malengo yetu ya kutwaa ubingwa msimu huu yapo palepale.Ndiyo maana mimi nilisema hizi lawama lawama kwa wachezaji kwa mambo yasiyokuwa na uthibitisho zitatugharimu sana. Kufungwa goli tano kweli inauma sana lakini tukumbuke hii ni ligi tena bado mbichi sana,wachezaji hao wanaotuhumiwa ndiyo hao hao tunawategemea kwenye michezo ijayo.
Comments reservedTatizo pesa za yanga ni za wizi serikalini,ni vigumu kushindana na mafisadi wenye uwezo wa kuchota tu pesa za kodi
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ulianza kushabikia Mpira lini?Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane hawastahili kuwa Simba.
Natamani wote waliotuhumiwa wapigwe benchi msimu mzima.
Kuna mdau mmoja amesema kwa wote waliohujumu majibu watapata leo.Natamani kujua kilochowakuta
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Utoto! Wewe ni shabiki wa Mayele Siyo mpira Wala Yanga!Propaganda zitawaathiri sana mashabiki wa Simba. Hakuna mchezaji yeyote aliyesimamishwa, wote wanapiga mazoezi kama kawaida kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo. Mnatulizwa tu kiaina hakuna mchezaji yeyote aliyeuza mechi ule ndio uwezo wenu. Kama viongozi wenu wanajiamini wakafungue kesi ya rushwa TAKUKURU. Hapo chini nimeweka wachezaji tajwa wakiendelea kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo.View attachment 2808034
Si rahisi chini ya kiongozi asiyejielewa,mwanasiasa za kishamba mnoSahihi kabisa boss, kwa sasa tuhakikishe malengo yetu ya kutwaa ubingwa msimu huu yapo palepale.
Na wewe umeingia kwenye mkumbo wa hawa wajinga!Sahihi kabisa boss, kwa sasa tuhakikishe malengo yetu ya kutwaa ubingwa msimu huu yapo palepale.
Mnaendekeza Wachezaji waliopewa rushwa waendelee kucheza? Mna akili kweli nyie?Yanga bila rushwaaaa hawezi kumfunga simba hili tunalijua miaka nenda rud......f*ck tanga mnatualibia mpira wetu wa tz yaani mnaendekeza rushwaaa kwa kuwaraghai wachezaji ili uongoz wa gsm uendeleeee kula pesa zenu washabik swain