Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hili andiko ulipaswa kumpelekea MO siyo mimi , Halafu kingine usichokijua ni kwamba siasa ni maisha , haikwepekiEndelea kusubiri hapo hapo simba kurudishwa kwa wenyewe, kichwa chako kibovu una relate kila kitu na siasa, siasa imekuharibu kichwa jitathimini na jitafakari
Aibu kubwa sana !
Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
hajatoa hata senti tano kipande !Naunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
hajatoa hata senti tano kipande !
Taarifa zinaonyesha kwamba MO ndio anachukua hela zote za Simba mpaka viingilio vya mlangoni , akaunti ya MO ndiyo akaunti ya Simba , yaani Simba haina akaunti ya kuweka hela , kamnunua Kaduguda na Manara ili kuzima keleleKuna wizi unataka kufanyika hapa tena wizi wa kutisha Mkuu.
Nimekudharau sana !Kweli mapopoma wako wengi, hiyo mechi ulikuwepo kwenye ratiba ya Simba na AFC napo haikupewa promo! Pili mechi haikuchezwa bure, Ilikuwa ni 5000 kwa 10000 kiingilio, tatu watu tayari kiu ya kuiona Simba ikicheza tena mechi ya kimashindano Ilikuwa ishakata jana yake!!!
Kwa kifupi!!! Wewe na CDM yako ndio mnaleta siasa,
Simba iko kwenye maandalizi ya ligi kuu hawawezi kuacha kujiandaa eti kisa kuna CDM wàko Arusha! Kwa sasa wako mbeya wakiendelea na majukumu yao!!!
NB: Kama Lissu alitaka kujipima na Simba mngemuambia aje siku ya Simba na Namungo!!
Taarifa zinaonyesha kwamba MO ndio anachukua hela zote za Simba , kamnunua Kaduguda na Manara
We mshamba ndio wa kunitisha mimi ! Hivi ni kipi hukijui kuhusu sarakasi za Simba Arusha , unataka sisi wanasimba tunyamazie ujinga ule , ukiwekewa barua ya makubaliano yao hapa utakuwa tayari kufuta uchafu wako hapa ?Unakosea sana kutuchanganyia siasa na Mpira...yaani Leo hii wewe unauliza Simba kucheza bure mechi ya kirafiki? Umesahau mechi ya Simba na Transit Camp hapo Mo Arena hadi kupelekea katazo la kutumika uwanja ule...kulikua na kiingilio kweli?
Acha uchonganishi...Mauaji ya Kimbali hapo Rwanda yalichochewa kwenye Medias kupitia ubaguzi ubaguzi wa ajabu ajabu...mdomo huponza...fuatilia Kesi ya Jean Paul Akayesu..penda kujifunza...No alikusea kwenye Simba day ila usituchochee kupia gape hilo...weka Siasa zako mbali na mchezo wetu...I hope you're paid for that but kuwa na mipaka...tafuta Mara zenye mashiko kufanya siasa uchochezi haujawahi lipa.
Ni hayo tu.
Lisu hana muda wa kujipima na simba, labda kama simba ndio wanataka kujipima na lisu,Kweli mapopoma wako wengi, hiyo mechi ulikuwepo kwenye ratiba ya Simba na AFC napo haikupewa promo! Pili mechi haikuchezwa bure, Ilikuwa ni 5000 kwa 10000 kiingilio, tatu watu tayari kiu ya kuiona Simba ikicheza tena mechi ya kimashindano Ilikuwa ishakata jana yake!!!
Kwa kifupi!!! Wewe na CDM yako ndio mnaleta siasa,
Simba iko kwenye maandalizi ya ligi kuu hawawezi kuacha kujiandaa eti kisa kuna CDM wàko Arusha! Kwa sasa wako mbeya wakiendelea na majukumu yao!!!
NB: Kama Lissu alitaka kujipima na Simba mngemuambia aje siku ya Simba na Namungo!!
Sawa Mimi mshamba so unanijua....ila sijakutisha nimekwambia...ukiweka barua kweli nafuta si ni ushahidi na si blah blah! weka barua hiyo, ili nifute unasubiri nini sasa mjanja wa nyuma ya keyboards...We mshamba ndio wa kunitisha mimi ! Hivi ni kipi hukijui kuhusu sarakasi za Simba Arusha , unataka sisi wanasimba tunyamazie ujinga ule , ukiwekewa barua ya makubaliano yao hapa utakuwa tayari kufuta uchafu wako hapa ?
Sasa mwanamke kama huwezi kumgharamikia si unampa mwenye kisu amtynze vizuri na alete matunda? Sisi wanasimba hatuwezi kuiweka simba hapo ilipo ni bora Mo afanye yake.Mo anaipeleka Simba atakavyo.
Aiseee !!Sasa mwanamke kama huwezi kumgharamikia si unampa mwenye kisu amtynze vizuri na alete matunda? Sisi wanasimba hatuwezi kuiweka simba hapo ilipo ni bora Mo afanye yake.
Naunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
Toka Dewj achukie Timu:
1) VPL 3 mfululizo
2) Ngao 2
3) FA 1
Niambie kabla ya Dewj Simba ilikaa miaka mingapi bila ya kifanya hiyo jeuri?
Ni Miaka mingapi tulikaa tukiwaona Yanga wakicheza mechi za kimataifa sisi tunaishia Nyumbani mpaka wao wakajiita wa Kimataifa sisi wakatuita Wamchangani?
Tafuta hela aacha Wivu wa Kisenge kwa Mwanume mwenzako?
Wewe na Fanboys wenzako wa Kilomoni hamuna uwezo wa kushindana na Dewj kumtoa Simba wakati hamuna uwezo hata wa kuichangia Simba kwa kununua Jezi Original musijisumbue.
As long as Wachezaji hawalalamikii mishahara na Makombe tunabeba basi kila la kheri Mo Dewj endelea kubakia Simba.
Nakushauri: Tafuta hela kwanza, ukishazipata ndiyo kamtoe Dewj pale kwa hela ili uichukue Timu na wewe ndiyo uwe Mfadhili utoe hizo bilioni 20.
Ndugu Huwezi kuwa kapuku ikisha unataka ushindane na Dewj, Dewji hashindaniwi kwa Vijembe na Mipasho Bali kwa hela. Weka hela pambana na Dewj, Lakini unaleta mipasho ikisha unataka usikilizwe? Serious?
Yani Wivu wako kwa Dewj ni sawa na uchawi utakuuwa Burr.