Dauda ni mchambuzi.. Sema muda mwingine anabashiri
Mawazo ya kimaskini haya !
Mwingine huyu!Hawa Mikia aka Underdog FC watapata tabu sana.
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
kafanyaje?Mwingine huyu!
Mkuu hukunielewa fuatilia post zangu,nilikuwa na matumaini Simba wangemaliza kazi kule Algeria ndio maana nikaufukua Uzi ulipokuwa kuusogeza karibu ili Simba ikishinda tumuumbue
AibuSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app