Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Simba iwe makini dirisha linalokuja la usajili na pia iwe makini kwa umafia watakaofanyiwa na TFF.
Vita kali inakuja kati ya TFF na Simba huku wakipewa backup na GSM.
Umafia uliotumika kumtoa Morison Yanga unaweza kutumiwa na Yanga wakisaidiwa na GSM. Sasa hivi kwa kitu kidogo tu hata kama ni haki ya Simba TFF itakuwa upande wa Yanga ( GSM ). Siri za Simba sasa hivi na mikataba inaweza kupenyezwa upande wa pili.
Kwahiyo dirisha dogo na msimu ujao Simba iwe makini isije ikawakosa wachezaji makini kwa uzembe wa mikataba.