Simba iwekeze nguvu zake kwenye Kombe la Mapinduzi, huku kwingine inaenda tu kupoteza muda

Kutwa mnaijadili Simba au kwa vile mumezoea hii ndondo mumesahau kuwa Mwarabu anawasubiri hapo Kigali. Kama vipi hamieni huku.
 
Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi
Kombe la Mapinduzi halina hela. Sisi tunawekeza kwenye mashibdano yenye hela kuanzia 5B na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…