Simba Jana: no penalty, no red card, no 3 points [emoji23]

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...

Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha

Nini kifanyike
Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli

NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????
1740426341689.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...

Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha

Nini kifanyike
Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli

NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????View attachment 3249069

NIliwaambia hapaaaa

Refa kaonywaaa
Na Simba wakaonywaaa chezeni mpiraa leoo mimba taifa zimaaa linamulika mechi zenu

Loh
 
Simba ya kawaida sana, bila kubebwa haiwezi pata ushindi mfululizo, subiri uone Coastal Union atakavowatoa kamasi.
Wasipobebwa naiona sare nyingine
 
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...

Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha

Nini kifanyike
Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli

NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????View attachment 3249069

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukweli mtupu.
 
Tumeshanoa visu, kuna mnyama anaenda kuchinjwa Lupaso Tarehe 8
Simba anatakiwa achinjwe hadi afe, tena pa kupita ni upande wa Tshabalala mechi na Azam kipindi cha pili kulikuwa na gepu kubwa Moody alikaba bila usaidizi na alikata moto goli likapatikana la pili kwa Azam.

Saed Ramovic aliacha falsafa ya intensity yaani Yanga ifanye mazoezi makali ya kukimbia, timu iwe na pumzi dkk tisini, mechi iwe mchakamchaka simba wasipate muda wa kupumua , wakimbizwe haswa , lazima wapoteane, simba wasipasiane kabisa, wasianzie mpira nyuma, yanga ikabie juu kwa dkk tisini na kukaba wachezaji watatu kwa dkk tisini , Simba haitakiwi kupiga pasi tatu bila kupokonywa mpira, simba haitakiwi kuwa na utulivu kwa dkk tisini sababu ni timu nzuri, wachezaji wawili wakabwe sana Mpanzu na Kibu yaani uwepo mkakati kabisa.
Simba anakufa tatu bila!!
 
Back
Top Bottom